Home ENTERTAINMENT SHINDA ZAWADI KUTOKA KWA ”LADY JAYDEE”

SHINDA ZAWADI KUTOKA KWA ”LADY JAYDEE”


SHINDA ZAWADI KUTOKA KWA ”LADY JAYDEE”

March 27, 2018
Baada ya kudondosha hit mpya ya “Anaweza”, Lady Jaydee ameamua kuwapa nafasi mashabiki wake kushirikiana pamoja kwa kuelezea story zao za maisha yao na vitu walivyopitia. Boomplay imeungana na Lady Jaydee kuhamasisha zaidi kampeni hii kwa kuwapa zawadi wale watakaoshiriki kwenye #MyAnawezaStory na zawadi mbalimbali zikiwemo tiketi za tamasha la tarehe 31 Machi kumuona Lady Jaydee mubashara, simu ya TECNO Camon CM na zawadi kutoka Boomplay Music.

Unachotakiwa kufanya:

Hatua 1: Pakua wimbo wa “Anaweza” kwenye app ya Boomplay Music

Hatua 2: Jirekodi video ukituambia story yako ya “Anaweza” kuhusu kilichokutokea maishani mwako

Hatua 3: Post video hii kwenye profile yako na hashtag #MyAnawezaStory

Hatua 4: Hakikisha umetag @jidejaydee & @boomplaymusic_tz tupate kusikia story yako

Kumbuka:

· Hakikisha umepakua wimbo wa “Anaweza” wa Lady Jaydee na Luciano.

· Shindano hili litaanza tarehe 27 Machi 2018 mpaka tarehe 30 Machi 2018

· Washindi watatangazwa kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii tarehe 30 Machi 2018.